Kweli mungu ni mkubwa hebu ona hii

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
gazza.jpg jamaa baada ya kupata ajali ya gari na kupelekea kubondeka kichwa lakini mpaka leo yupo na anaendelea na shuguli zake.
 
Acha kutudanganya mchana kweupe hivi!
Weka picha ya kubondeka wakati wa ajali tuthibitishe...
Vinginevyo hii ni hali ya ulemavu wa kuzaliwa au DUKA LA PICHA tu...:becky:
 
hapana ase hii haiwezekani, hiyo picture kama sio editing sijui ni ujanja gani wamefanya lkn sio kweli kabisa
 
Acha kutudanganya mchana kweupe hivi!
Weka picha ya kubondeka wakati wa ajali tuthibitishe...
Vinginevyo hii ni hali ya ulemavu wa kuzaliwa au DUKA LA PICHA tu...:becky:
Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road.kwa maelezo haya utakuwa bado tu utaki kuamini
 
hapana ase hii haiwezekani, hiyo picture kama sio editing sijui ni ujanja gani wamefanya lkn sio kweli kabisa
Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road. kwa maelezo hayo bado utaki kuamini nimemkumbuka Tomaso
 
Hajapata ajali yaelekea alipata matatizo wakati yupo mchanga, thus why tunashauriwa kuwalinda watoto wakiwa wadogo kwani vichwa vya vunakuwa havijakomaa.

Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road.kwa maelezo haya utakuwa bado tu utaki kuamini
Siamini! Maneno tu ni rahisi KUBUMBA tukio; lakini picha ni ngumu kidogo!
Don't you know that a picture tells a thousands than WORDS... Leta picha mkuu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom