ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,685
- 42,022
Atakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁Duhh ngoja walokole waje🥶
Darling wewe sio mlokoleDuhh ngoja walokole waje🥶
Na nina hamu ya kuchanganyikiwaAtakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁
Ajiandae kisaikolojia kushindanishwa na ma gT🤸🏽♀️Atakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁
Niko likizo😎Darling wewe sio mlokole
Sawa 🤝Niko likizo😎
Hata najua basi?Biblia inasema Mungu ni upendo, kama ilivyoandikwa katika 1 Yohana 4:8 “Mungu ni upendo.” Pia inaonyesha Mungu anaweza yote katika Mathayo 19:26.
Lakini kama Mungu ni wa upendo na anaweza yote, kwa nini duniani kuna mateso makubwa—watu wanateseka kwa maradhi, umasikini na dhuluma?
Pia maandiko kama Yeremia 1:5 na Zaburi 139:16 yanaonyesha Mungu anamjua mtu kabla hajazaliwa. Je, hii ina maana hata mateso ya watu yalijulikana kabla?
Na kama Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu kama inavyoelezwa katika Yohana 3:16, kwa nini bado kuna mafundisho ya hukumu na adhabu ya milele kama katika Mathayo 25:46?
Ninauliza haya kwa nia ya kutafuta uelewa zaidi wa maandiko. Ningependa kusikia maoni na ufafanuzi wenu.
Wakuu karibuni🙏🙏
Mungu si kwamba ana upendelea ama hana upendeleo bali 'hayupo' na 'hatakuwepo'.Hujui hata kidogo kweli🫢
Eb jaribu tuone
Kwahiyo hizo bible na qu'an ni adisi za abunuasi 😂😂Mungu si kwamba ana upendelea ama hana upendeleo bali 'hayupo' na 'hatakuwepo'.
Nimejaribu mkuu 😎.
Ndo maana yake.Kwahiyo hizo bible na qu'an ni adisi za abunuasi 😂😂
Mwingi wa rehema mwingi wa huruma ?Mwenyezi Mungu ni Mtukufu asiye na mwanzo wala mwisho. Yeye ni Mmoja asiye na mshirika, Muumba wa mbingu na ardhi na kila kilichomo ndani yake. Uwezo wake hauna mipaka, na hakuna jambo linaloweza kumshinda au kumzidi nguvu. Yeye ni Mjuzi wa yote; anayajua yaliyopita, yaliyo mbele yetu, na hata yaliyofichika ndani ya nafsi za viumbe. Hekima yake ni kamilifu, na hukumu zake hazina upungufu wala dhuluma.
Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa rehema na mwingi wa huruma. Hutoa riziki kwa viumbe vyake bila kuchoka, na neema zake hazihesabiki. Yeye ni Mfalme wa ufalme wote, mwenye mamlaka juu ya kila kitu kilicho hai na kisicho hai. Utukufu wake umeenea mbinguni na ardhini, na hakuna anayefanana naye katika uweza, utukufu, na enzi. Yeye ni chanzo cha uhai, mwongozo wa walio katika njia ya haki, na kimbilio la kila nafsi inayotafuta amani na rehema.
AnawaogopaMwingi wa rehema mwingi wa huruma ?
Sasa mbona watu wanakula msoto wa magonjwa umasikini mpka wanatapeliwa na kina mwamposa kutumia jina lake na amekaa kimya?
Mkuu lile somo la "Geography" Topic ya "Soil Formation" ulisoma kweli?Mwenyezi Mungu ni Mtukufu asiye na mwanzo wala mwisho. Yeye ni Mmoja asiye na mshirika, Muumba wa mbingu na ardhi na kila kilichomo ndani yake. Uwezo wake hauna mipaka, na hakuna jambo linaloweza kumshinda au kumzidi nguvu. Yeye ni Mjuzi wa yote; anayajua yaliyopita, yaliyo mbele yetu, na hata yaliyofichika ndani ya nafsi za viumbe. Hekima yake ni kamilifu, na hukumu zake hazina upungufu wala dhuluma.
Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa rehema na mwingi wa huruma. Hutoa riziki kwa viumbe vyake bila kuchoka, na neema zake hazihesabiki. Yeye ni Mfalme wa ufalme wote, mwenye mamlaka juu ya kila kitu kilicho hai na kisicho hai. Utukufu wake umeenea mbinguni na ardhini, na hakuna anayefanana naye katika uweza, utukufu, na enzi. Yeye ni chanzo cha uhai, mwongozo wa walio katika njia ya haki, na kimbilio la kila nafsi inayotafuta amani na rehema.