N Nelly Willy JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 579 Reaction score 1,200 Nov 13, 2024 #101 Drat said: Usijali hata wa kwako utakuwa haujui anavyochakatwa wakati ukiwa na kazi zako. Click to expand... Sasa haya yanatoka wapi mkuu?
Drat said: Usijali hata wa kwako utakuwa haujui anavyochakatwa wakati ukiwa na kazi zako. Click to expand... Sasa haya yanatoka wapi mkuu?
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,950 Reaction score 23,240 Nov 13, 2024 #102 Equation x said: Mme wa mtu ni maziwa, kwa hiyo mke wa mtu na mme wa mtu hakuna shida π Click to expand... Maziwa kuyafanyaje?
Equation x said: Mme wa mtu ni maziwa, kwa hiyo mke wa mtu na mme wa mtu hakuna shida π Click to expand... Maziwa kuyafanyaje?
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,950 Reaction score 23,240 Nov 13, 2024 #103 Nelly Willy said: Sasa haya yanatoka wapi mkuu? Click to expand... π€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Nelly Willy said: Sasa haya yanatoka wapi mkuu? Click to expand... π€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,302 Reaction score 31,719 Nov 13, 2024 #104 Poor Brain said: Mii hapa selewi kitu mkuu ... Sikuelewi kabisa ujue πππ Click to expand... Utaelewa siku shaft ikipita kwenye channel 0
Poor Brain said: Mii hapa selewi kitu mkuu ... Sikuelewi kabisa ujue πππ Click to expand... Utaelewa siku shaft ikipita kwenye channel 0
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 13,116 Reaction score 30,549 Nov 13, 2024 #105 Nilishawahi kula mke wa mtu kwa bahati mbaya sababu shetani alinipitia Sijawahi kurudia na sitawahi kurudia Jamaa mwenye mke kila nilipokuwa nakutana nae nilikuwa na hofu sana kama vile anajua nimemla mke wangu
Nilishawahi kula mke wa mtu kwa bahati mbaya sababu shetani alinipitia Sijawahi kurudia na sitawahi kurudia Jamaa mwenye mke kila nilipokuwa nakutana nae nilikuwa na hofu sana kama vile anajua nimemla mke wangu
N Nelly Willy JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 579 Reaction score 1,200 Nov 13, 2024 #106 Sakasaka Mao said: π€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu! Click to expand... Mno asee π
Sakasaka Mao said: π€£π€£π, kwa hiyo mkuu kimekuuma? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu! Click to expand... Mno asee π
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,441 Reaction score 23,018 Nov 13, 2024 #107 mtaani kahama
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,633 Reaction score 4,309 Oct 1, 2026 #108 Sidhani kama itaniuma nikichapiwa Mwanamke ambaye sikumkuta BIKRA