Kweli mchezea baya hukutwa na shida. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli mchezea baya hukutwa na shida.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BETONY, Apr 4, 2012.

 1. B

  BETONY Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Kwanza kabisa napenda kuwapongeza wana Arumeru,People's power.
  Waswahili hupenda kusema,ukichezea shilingi karibu na shimo la choo,ujue kinachofata ni kilio tu.Kweli asiyeona,hata akioneshwa bado hatabaki gizani.Hivi chama cha mapinduzi,huku kwetu kinaitwa chama cha kuwaletea watanzania umaskini,hakikujua kuwa mwisho wa uongo wake kwa wana Arumeru umefika mwisho.
  Mosi.Wanaowaita makada wa chama chao mpaka wakapelekwa Arumeru kunadi chama ni kama,walikuwa wanaharalisha ushidi kwa CHADEMA,hivi rais mstaafu ambaye amekaa kimya kwa kashfa nyingi,anaweza kukiletea chama mafanikio? jibu jepesi ni kwamba lazima hatajisafisha mwenyewe kwanza badala ya kunadi sera za chama,hiko ndio kilitokea Arumeru mnadi chama,kajisafisha mwenyewe,mwisho wa siku chama kimevuna mavumbi,hongera CHADEMA kwa kunadi sera zenu.
  Pili.Watu wenye matatizo ya kufikiri wanawezaje kufanikisha ushindi?Hapa napata jibu kuwa sasa kwamba CCM wameishiwa,sasa ni wakati wa wengine kuwaonyesha njia.Wametukana sana mwisho wa siku wameambulia matokeo ya matusi yao,shame on you LUSINDE.Hongera Nyerere kwa harakati zenu za kuakikisha kuwa wana Arumeru wanapata mbunge atakaye watetea siyo atakaye kuwa anatukana watu,Shame on you Wasira,pumzika mzee usitake siasa zikupige teke.
  Wasalaaam ni mimi mpenda mapadiliko Tanzania.
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wasira brain imeshachoka, ndo mana amekuwa mtu wa kulala lala tu na kutoa udenda..
  Mwigulu muda wote wa kampeni akili yake ilikuwa inawaza totoz...
  Lusinde ndo mirembe type.
  Sasa kwa namna hiyo walitegemea ushindi utoke wapi?
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Word broda BETONY
   
Loading...