Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,645
- 5,426
Game plan ikamsaidia vipi ili kuifunga Simba? Mbona maswali unajibu kirahisi hivyo? Haya sasa ili nione utetezi wako una mashiko, niambie ni vipi hiyo game plan ilikuwa na msaada ikiwa Yanga ndio imepoteza mchezo na kuzidiwa kwa kila kitu.Lila mechi Ina plan take huwezi kucheza na simba alaf ukatymia game plan ya ulivyocheza na jkt tanzania