Kweli mapenzi upofu, daaah

Kweli mapenzi upofu, daaah

Kama umezoea kula bata za majuu
Bongo ni kijijini tu lazima pakuboe
Vitu vingi havipatikani
Nasikia mrembo alitaka wakaishi Amerika
Ndiyo wakashindwana bongo hapaelewi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kama ukiluwepo mkuu, hawa jamaa huku wanaishi dunia yao. Hata kutuweka dunia ya watu ni karibu sana, tupo mbali sana! Noma sana
 
Labda kafata Zegembe aka Mpododo aka Inye Ndembendembe aka Bunyero aka Msambwanda aka Futuhi aka Taarabu aka Bambataa aka Nyoro
 
Ni swala la kipaumbele,kila mtu ana chake...
 
Sometimes unaweza kuwa na mwanamke mzuri ila akawa pasua kichwa huwezi kuwa na furaha,lazima mtazinguana tu ,lakini kwa mwingine wa kawaida unajiona umerelax na hamna kelele ,but kwa Harmonize sijui maana Kajala ni nazi bovu.
 
Yule mzungu alikua escort tu Tembo alikua anapumzika for sometime. Hao wapo tu ukiweza kumudu price tag yake unampata tu
 
Kama hakuna chura utapiga mifupa kofi?
 
Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition.

Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde

Kwangu mimi mpaka leo bado sijamuelewa akili ya mmakonde
Kumiliki mzungu sio sawa na kuwa na Kajala ndg yangu.
Watanzania tuna mfumo dume lkn sio hao wazungu.
Ukioa mzungu wewe unageuka yaya tu.

Mwanamke wa kizungu mtamani kwenye tv tu lakini kuishi naye ni msalaba mzito sana.
Nimechangamana na hawa viumbe zaidi ya miaka 12, 24hrs/7 mfululizo..
Life style yao mbongo mwenye utimamu huwezi kamwe kuoa mzungu.

Dada zetu wa kibongo pamoja na madhaifu yao wanafaa sana tena.
Antonnia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom