what i can say is siwezi garentee uhusiano na mwanamke,tupendane tu but time will tel,sababu unaweza kuwa na mtu baadaye ndo ukagundua hamuwezi kuwa happy couple,sasa hapo kinachofuata ni kila mtu na hamsini zake ,sema mademu uwa hamtuelewi tu!
Hili halina ukweli, you can offer plenty of sex, na vilevile ukawa sex na ukafanya zaidi ya hapo lakini bado the problem remain.
Pengine wameumbwa kutokuridhika au kupenda kuonja onja kila mahali.