Kweli mapenzi ni sanaa

hahahahaaaa.. huyo jamaa itakua alimpiga ngumi sio bure? au ukute ni yule rasta anayeonekana sana wozap akila misumari na glass nini nini.. au anatoa ----- bila shaka...loooo!!!!!
 
Labda huyu ndiye yule aliekuwa akisimuliwa na Kasinde sasa ameshamfanyia kweli
 
ila katika hili suala wengi wanahitaji kufunzwa...Kuna watu hawajui utafikiria wanang'ata au wanasugua...lol

hizo lips za mwanaume zilivosambazwa kama masega ya nyuki ataacha kumuumiza mwenzie mh
 
ila katika hili suala wengi wanahitaji kufunzwa...Kuna watu hawajui utafikiria wanang'ata au wanasugua...lol
Mie pia zumbukuku kwenye majamboz hayo, sasa sijui utanisaidiaje mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…