Kweli maisha magumu jamani...

itabidi tufanye kama libya tuitungue CCM out! the are hv bn ther for too long! and messing around !
 

Allaaa! Duh hii kali... Ndibalema shukrani kwa kunidondoshea kituko ulichokishuhudia.
 
Ebwana ilo sio swali watanzania taabu mbaya sasa tunamsubiri YESU ajekutu tete tu, kwa sisi ni wakudanganywa wakuibiwa wakunyimwa haki zetu kila baya lote ni letu sasa
 
Tutashuhudia vituko vingi kutokana na ugumu wa maisha.
 
Naamini kabisa itafika mahali bei ya soseji moja itakuwa sh. 2800 Mkwere akiondoka hapo 2015!!!!
 
ukitaka kuona vituko duniani panda gari la Mbagala kuna kila aina ya visa I miss those days

tatizo kwetu mbagaraaaaa!
Hatuami ng'o. Nahivi yule sharobaro kashatupaisha. Lol!
 

hii habari inachekesha halafu inahuzunisha.
Hali ngumu mkuu ila sijui wengine tunasubiri mkwere atuletee majumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…