Nifanyie connection basi na mimi nipate kazi hapo kamandaAiseee nimeajiriwa ofisi moja hapa mjini kwa miezi kadhaa sasa kutokana na ucheshi wangu nimezoeana na watu kwa mda mfupi sana kwenye story story za hapa na pale za wanazengo wenzangu wahapo ofisi bhana kilantakae ingizia neno la imekuwaje uko hapa anasema connection yani karibia staff wote connection hakuna hata aliyefanya interview ni connection duh nikasema duh sasa kina kajambe nani wasio na connection itakula kwao mi mwenye nikajitathimini niko mule kwa connection pia nikasema wote ngoma drooo tuendeleeni kuchapa kazi kimoyo moyo lakini ...kama boss uko humu nisamehee tu maana kazi bado naipenda ila CONNECTION. Kuitwa interview mbwembwe tu
Hadi kukusanya madeni connection? DuhAiseee nimeajiriwa ofisi moja hapa mjini kwa miezi kadhaa sasa kutokana na ucheshi wangu nimezoeana na watu kwa mda mfupi sana kwenye story story za hapa na pale za wanazengo wenzangu wahapo ofisi bhana kilantakae ingizia neno la imekuwaje uko hapa anasema connection yani karibia staff wote connection hakuna hata aliyefanya interview ni connection duh nikasema duh sasa kina kajambe nani wasio na connection itakula kwao mi mwenye nikajitathimini niko mule kwa connection pia nikasema wote ngoma drooo tuendeleeni kuchapa kazi kimoyo moyo lakini ...kama boss uko humu nisamehee tu maana kazi bado naipenda ila CONNECTION. Kuitwa interview mbwembwe tu
Yaani mbaka uwe na connection na MaulanaDuniani kila kitu connection, hata peponi pia lazima connection..[emoji41][emoji41][emoji41]
Hapo hapo kwenye interview hapo ndo connection znatengenezwaSiku hizi naona ajira nyingi Za mashirika ya umma zinapitia sekretalieti ya ajira,kwani hadi huko kunaitaji connection?,maana hawa jamaha wanaonekana wako fair bidii yako tu kwenye interview