kweli kuna watoto wameumbika!!

anyway ni demu wa kawaida sana na wala sio wa kuweka humu bwana kwa mbembwe hata huku Ungal Ltd na Ngarero wapo tena wengi sana
 
.... awapi! amakweli, beauty is on the eye of ....!
 
Pamoja na kuumbika huko, hakuna kitu kipya ambacho anaweza akatofautiana na mabinti wengine.Usione nyumba imepakwa rangi nzuri ukadhani ndani kuna rangi hiyo-ingia uone mwenyewe.Kwani makaburi yanapaopakwa rangi,ndani nako kunapakwa???????????????/
 

King Kong mbona unasifia "kiukware"? Itoshe kuusifia uumbaji wa Mungu kwa maneno machache! Sasa unamvua mpaka na kivazi chake! Mweee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…