Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hukuona wakati wa Field Marshall Iddi Amin Dadah?​Nitafurahi siku nikiona wazungu wanasujudia picha au sanamu la kiafrika.
kule Bolivia kuna watu wanamuabudu Ernesto Che Guevara (saint Che) kama mtakatifu. wanaamini kuwa Che ni mtu ambaye alitoa maisha yake kwa ajili yao. kwao wao Che is like a Jesus
Hiyo ndio imani na iheshimiwe na watu wote