kweli kifo noma

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza.
Jambazi:we mwanamke unaitwa nani?
Mwanamke:mimi naitwa elizabeth
Jambazi:wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu, ehee na wewe mwanaume unaitwa nani?.
Mwanaume:mimi ninaitwa john ila kazini wananiita elizabeth
 
Aisee, uyo jamaa kaua.. kutoka John mpka jina la mkewe!
 
tehe tehe kifo noumaa....unaweza kukana hata ndugu yako wa kuzaliwa.....
 
Ka! hiyo kali angedadili na jinsia hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! kweli kifo noma iseee
 
hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................... hapo ngoma drooooo
 
Huenda ikawa kweli kazini ni elizabeth, manake na kazi zilvyo ngmu kupata unaweza kubadlshwa gafla
 
daah! Jamaa alichafua balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…