huyu binti ni matata sana , she is cute anatakiwa ajiheshimu apate mume msafi kabisa
Kuoa hawa mabinti ni kujikanumba mwenyewe.Bora umege usepe.Wapi almasi anataka kulewa mwenzenu
Who is she.....
maigizo tu yale ili kuuza gazeti meeen...ushawahi kuona picha yao ya pamoja?Sio demu wa Diamond huyu?