Kweli jana hawakuruka kwenda Nduli?

Kweli jana hawakuruka kwenda Nduli?

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
Nimepita mahali tofauti tofauti na kukutana na malalamiko ya abiria wa shirika letu pendwa kwamba hamkurusha ndege kwenda destination mliyozindua juzi tena bila maelezo yoyote.Nachelea kutoa conclusion ngoja tusubiri maelezo yenu
 
Yeyote anaeamini atcl itajiendesha kwa faida ni wa kupimwa akili kwa mshahara upi wa kupanda ndege kwenda Nduli Iringa
 
Mimi nimiongoni mwa wanao amini shirika litasimama..Ndege zisipokuwepo ni tabu zikiwepo zikiwepo bado ni tabu kwa baadhi ya watu..Waongeze safari Bukoba to Dar
 
Back
Top Bottom