Tz nchi yangu
Member
- Jul 28, 2016
- 23
- 13
unatesa watu kwa njaa unasingizia uhakiki! hii zambi kubwa sana wewe so mpenzi wa Mungu. ila wewe ni mpenzi wa she**ni. wanafunzi nao unawaambia uhakiki unataka wale nini au wakafanye kazi waache kusoma!! semista inaisha kwa boom moja tu! duh! kweli tumempata raisi wa wanyonge
.. njia ya mwongo ni fupi
.. njia ya mwongo ni fupi