SYRE BOY JOSEE
Member
- Sep 2, 2013
- 10
- 2
Kweli huu ni ubinadamu kweli. Kuna mdada alifiwa na wazazi wake wote, akiwa na miaka 8 tu. Alipofikisha miaka 14 alikutana na mwanaume ambaye ni mfanyabiashala ya matunda. Kaka wa watu alijinyima akamsomesha. Mpaka sasa hivi na vyonena huyo dada yupo chuo UDSM. Heti leo ametuma komenti yake. Nanukuu " Jamani naomba ushauri kuna mkaka kanisomesha toka shule ya msingi hadi sasa nipo chuo. Nahitaji kumuacha kwasababu siyo type yangu" mwisho wa kunukuu. Haga utaona wazi kuwa kuna wadada wanaharibia wenzao sivii zao. Je? Hii ni haki.