Kweli hili bunge la posho

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Jamani hili bunge letu vipi? yaani full comedy. wameongezewa muda wa maswali na majibu kwenye budget ya wizara ya kilimo kwasababu kuna wachangiaji wengi, wanaishia kupiga kura ya kukataa nyongeza ya muda?

HALAFU WANAANDIKIANA VIMEMO NA KUFOJI SIGNATURE YA WAZIRI MKUU, VIMEMO HIVYO VIKIMTAKA MBUNGE HUSIKA AMUONE WAZIRI MKUU KUNA MASWALA ANATAKA WAONGEE KUMBE UONGO!. FULL UTOTO
 
Back
Top Bottom