Tena, Kama sio zile feki basi tu.
Alitaka aone lidubwasha kubwa kama zile tape recorder za zamani za kuweka cassete ndani.Du !
Acha ushamba
Hicho ni ki Digital Voice Recorder cha kisasa, na ukikiona utafikiri simu.
Tembea uone!
View attachment 81742
Wee acha tu!
Huyu mtangazaji na kisimu uchwala hiki unategemea tutapata mawasiliano bora hapa?
Naona hata Rais kachukia anatamani amnase kibao!