Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 344
Hyo Injiri ingetoka wapi wakati mwanzirishi wa injiri yupo.....mitume wote wangekuwepo nadhani kusinge kuwa na biblia wala msaafuningefulahi kama ningekutana na YESU CHRSTO WANAZARETI nikamueleza jinsi wafuasi wake wanavyoangamia na manabii wa Uongo na jinsi INJIRI yake iivyochakachuliwa kwa mgongo wa BIBLIA
Adam&Eve..
Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!
Bado ni ngumu hata ukiweka katika makadirio, na utajua ni ngumu zaidi kama ukitaka kufahamu juu ya MFUATANO WA VIZAZI KATIKA UKOO WAKO!, Ukienda mbali zaidi utafika katika kiza cha fikra zako za mwisho katika kutambua ukoo wako unaanzia wapi, Anzia kwa babu yako kizaa mama/baba kisha rudi nyuma zaidi utaelewa nini hasa namaanisha!
Nlichofikiri kimsingi ni kwamba pengine kama Adam&Eve wasingekula lile tunda katika mti wa kati wa Bustani walipokua wakiishi, Pengine kuitambua hii sequence ya waasisi wa ukoo wako ingekua ni RAHISI&TATA katika wakati mmoja.
Maana kwa mantiki ya kutokula lile tunda wanadamu wangeishi pasi na kufa, Hivyo ni wazi ungejua watu wa awali kabisa katika ukoo wako ukiachilia mbali Adam&Eve, Cha kufikiri hapa ni kwamba;-
Unadhani hali ingekuaje kama pasingelikua na KIFO?
KIFO KISINGEKUWEPO HALI INGEKUAJE?
Mkuu umeongea fact moja nzuri sana 6000yrs ni kidogo sana kwa hizi evolution, hapa kuna mawili; aidha special creation theory ilielezwa kimakosa au ni uongo.kwa mujibu wa bible tangu adam mpaka sasa kwa kufuata vizazi ni kama miaka 6000,kwa sisi wana sayansi hapo tunaona kuna maswali ya kuhoji,miaka 6000 ni kidogo sana kutokea evolution kama za wachina ,wazungu,wahindi waafrika nk.inavyoonekana adam na eva sio binadamu wa kwanza ila wamechukuliwa kama sample,au nibinadamu wa kwanza kwa eden tu
Acha ujinga...Haaaaa kwahiyo inamaa maccm yasingekuwa yanakufa wazo batili kabisa hili
hivi adam Wa eden na yeye ana mitama kama ya huyu wa huku dunianikwa mujibu wa bible tangu adam mpaka sasa kwa kufuata vizazi ni kama miaka 6000,kwa sisi wana sayansi hapo tunaona kuna maswali ya kuhoji,miaka 6000 ni kidogo sana kutokea evolution kama za wachina ,wazungu,wahindi waafrika nk.inavyoonekana adam na eva sio binadamu wa kwanza ila wamechukuliwa kama sample,au nibinadamu wa kwanza kwa eden tu
Waislamu wanajua nasaba za Mtume Mohammad SAW kwa vizazi 20 kabla, hakuna ugumu ni namna tu familia inavyoweza kutunza kumbukumbuAdam&Eve..