joo fill
Member
- Mar 26, 2014
- 37
- 4
Mke: mume wangu unajua kuwa mlango wa jikoni umevunjika?
Mme:mi fundi?
Mke:mh! haya naomba ela ya chakula
Mme:mi ATM?
Mke:mwanao jana katoroka shule
Mme:mi mlinzi?
Mme akaamua kuondoka bila kufanya uamuzi wowote
Baada ya kutoka kazini sasa;~
Mme:we mwanamke nani kajenga huu mlango
Mke:fundi
Mme:hichi chakula cha leo nani katoa ela?
Mke:jirani yako Rama
Mke:ila mumewangu alinitajia vitu viwili nichague kimoja nimpatie
Mme:sina wasi wasi na wewe najua ulimpatia chakula
Mke:nimpatie chakula mi hoteli
MME ALICHOKA,,,,
{UNAWEZA KUNIAMBIA NI NINI MMKE ALIMPATIA RAMA}