Kweli hakuna mtu ajue kesho yake

 
Mbowe ana magic touch (siyo maidas touch). Kila amgusae akimsaliti hupoteza thamani.
 
Wanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
 
Haya majambazi yaliyo haribu legacy ya JPM? Let them get their payment properly.
Hawa Sabaya, Makonda na mijibwa mingine imemuharibu nia njema ya yule Rais wa Tanzania.
 
Wanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
Ah wapi dhahabu ipi hii takataka? Itaungua na kuwa majivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…