kweli haki ipo interview za tanroad?

kweli haki ipo interview za tanroad?

Mzanzibar

Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
36
Reaction score
2
jamani hebu tuwekane wazi kweli haki ipo interview za tanroad? au ndo mwenye kamulete anaweza kupata?
 
Haki duniani? Wewe fanya interview, jiandae inavyopasa na jiweke fit. Ukipata sawa, ukikosa mswalie mtume uendelee kusaka.
 
tuambie nini kimetokea, sio wote tuliohudhuria hiyo interview.....................
 
Jiandae kwa lolote,hamna haja kujiuliza maswali mengi,ukiamini ni fair utatoboa bt ukianza kufikiria kuna upendeleo utakosa hta kabla ya matokeo ya usahili kutolewa.
 
Back
Top Bottom