Jiheshimu na uheshimu imani za watu. Usitake sifa kwa kuandika ujingaWEWE TAFUNA MBONA NI RUKSA KATIKA BIBLIA
...Nipo mgahawani nimecheka wali umeruka kutoka mdomoni,ah watu mna maneno[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji23]Paka yaani Nyau?
watu wanaingilia kuku unashangaa ya nyau?Paka yaani Nyau?
wewe unajua maana ya neno SURIA Katika biblia?Jiheshimu na uheshimu imani za watu. Usitake sifa kwa kuandika ujinga
Hakuna Biblia iliyoruhusu hiki ingekuwa hivyo hata nisingeweka uzi huu hapa kwani ninaiheshimu biblia sana![/QUOTEsijui ni ib
ww huwa unasoma maandiko yapi,hao baba zenu wa imani kwenye biblia si walikuwa wanalala na wajakazi wao haikuwa dhambi kwa nini kwetu iwe dhambi? au kuna utofauti kati ya housegirl na kijakazi?Hakuna Biblia iliyoruhusu hiki ingekuwa hivyo hata nisingeweka uzi huu hapa kwani ninaiheshimu biblia sana!
Aiseeewanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
kama wachunga ngombe na mbuziwatu wanaingilia kuku unashangaa ya nyau?
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni!
Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona siwezi komenti chochote kwenye uzi na baadaye uzi siuoni tena.
Kati ya vyote, kutia house gal siwezi nasijawahifikiria! Nimekaa nao kama saba hivi na wengine wazuri kweli ila huwa nahitaji wife awafanye kama wanetu au ndugu zetu wa dam kuanzia mavazi, malazi na misosi tule pamoja hata kama hakuzoea, na ninashukuru mambo si mabaya wife anawamudu na wanaendana naye. Na nikiona dosari huwa nawasiliana na wife then yeye anamaliza nao.
Ila kula house gal kiongozi acha tafadhali. Yaani kweli ukose nyapu huko nje hadi uje ule ya house gal wako kweli jamani, kwanza unakuwa unamdhalilisha mkeo sana tena sana pili nihatari kwa familia yako yote (hatari kwako kwa watoto wako na kwa mkeo pia) anything bad can happen, hujawahi kufikiria hata familia yako kudhuriwa au unatafuta umaarufu!
Kwa yeyote mtaka papuchi ya housegal wake please ajiangalie kwanza na afikirie kabla ya kutenda.
MUTTAZ.
Yaani mm nina House girl mzuriiii,muiraq toto jeupeeeee,hips hiyaaaa!! Na anapiga kazi balaa,adabu za kutosha na upendo wa hali ya juu!Sasa huyo anaetaka kumgegeda amgegede hakuna namna! Siwezi kuacha kuwaajiri watoto kisa mwanaume niliyenae hizi ni akili chafu zao wakiamua kunisaliti! Yaani sihofiagi hili