Kweli Gaucho Kaisha!

Kweli Gaucho Kaisha!

Naona mkuu Companero umeamua umwamshe mfuasi wa Dinho mheshimiwa sana Gang Chomba.....

Ngoja tumsikie atasemaje hapa.
 
Last edited by a moderator:
Chomba eti ya kweli hayo,mbona wanakusakamasakama Ac Milan nako moto,sasa itakuwaje kwako,waimbie nyimbo ya sikinde nachechemea kama deni semeni niwalipe leo :nerd:
 
mti wenye matunda ndio unaopigwa Mawe...
Dinho hata mumsakame vipi atabakia kuwa lebo ya Soka ulimwenguni.......
 
Chomba eti ya kweli hayo,mbona wanakusakamasakama Ac Milan nako moto,sasa itakuwaje kwako,waimbie nyimbo ya sikinde nachechemea kama deni semeni niwalipe leo :nerd:


MSAFIRI KAFIRI...
Najuwa Duniani uhangaike ili ufanikiwe
Nami nitasafiri kila pembe iko siku Mungu atanisaidiaaa...

Mwenda pole hajikwai, akijikwaa haanguki, akianguka haumii, kuumia kwake kidogo tu
 
Silvio Berlusconi...
mmiliki wa timu anayeongoza orodha ya mafanikio kwa wamiliki

Oyaa Kaka karudi kwenye kikosi cha Selecao, kapiga bao - Ronaldinho wala hafikiriwi kurudishwa!
 
Alikuwapo, alifunga na alibeba mataji...
Dinho the Saint

akaisha, akaachwa, akaomba, akabembeleza, akanyimwa, akalia, akasahaulika

maskini cheki anavyolia:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom