usiwe unaleta utani, undugu wala urafiki kwenye pesa... ukifanya hivo utajiri unanukia...
Pesa kitu kingine ukileta undugu usidhani hao wenzako wanakufikiria hivohivo, kila mtu anataka avute kwake as much as possible, kua na uroho wa pesa, uchungu, hasira nayo yani itafute ka vile unatafuta uhai, sema tu usiitafute illegally..