Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,402
- 872,010
Hii sasa sifa
Mhmh acheni ubaguziBinafsi imenigusa sana.. Yani kama katokea mortuary [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1258276
Mimi hata hiyo namba ya NIDA sijui inafananaje....
Hii sasa sifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Umezisukumia ndani? Mojawapo ni hiyo walao wanga na mafuta kwa wingi?. Or you mean “mzazi aliemsomesha mtoto kwa gharama kubwa,bado yuko shambani kwa jembe la mkono,ili hali huyo mtoto ameanza kazi,lakini hajali hao wazazi wake waliotumia 3/4 ya kipato chao kumsomesha,lakini mtoto kila siku anafanya sherehe birthday dar?Picha zilikiwa zinagoma kuingia nimemsaidia mleta uzi kuzisukumia ndani, jitahidini msilie...
Mbona na matukio kadhaa ulishawahi kutuletea hapa dada yangu; au hayo hayahesabiki?
Doh kasie hapa ni wapi nikaokote hata vichwa 😄😄
Doh kasie hapa ni wapi nikaokote hata vichwa 😄😄
Huyu mzee ni hazina
Hawa ndio hawaruhusiwi kufanya kazi ATCLMrembo wa kijijiView attachment 1258269
Captain yupi aliyeshika usukani?Hizo picha nilizoweka hapa ni za mtoa mada sio zangu. Mie nna matukio mengi tuu mwaka huu kubwa lao ni Captain kushika usukani...
United Arab Emirates....
Captain yupi aliyeshika usukani?