Kweli CRDB ni majanga

Mimi pesa zangu nahifadhi Airtel money na tigo pesa na nyingine room..CRDB akaunti nilitoa pesa yote japo haikua sababu ya makato maana sifuatilii
Mkuu mimi niliweka laki saba tu ikapita mwezi nikasema ngoja niongeze laki nilivyofika kucheki balance nikakuta wamekata 16000 ikabidi niwatumie sms kwenye kila mtandao waliopo wakanijibu wamekata makato ya account kwa mwaka...
 
Mkuu omba bank statement itakup taarifa zlte za miamala yako gharama ni ndogo sana ukiomba unapewa
 
Mimi natumia CRDB kwa muda na sijaona mengi ya yaliyosemwa na wadau hapo juu. Nashauri kwenda Bank iliyo karibu na uongee na Branch Manager au wahudumu.
Ahsante
Kama hauna salio, hawezi kuyajua hayo😂😂😂🤫! Waache wenye masalio ya kutosha watoe takwimu!
 
Mkumbuke pia kwa wanaoangalia salio kwa ATM card ambazo zinauwezo wa kutoa pesa katika bank aina yeyote.. Mjue pia makato ni tofauti... Makato ya chini ukiwa una card ya CRDB lakini unatolea NBC gharama haipungui 5900/= hili suala hata wafanyakaZi wengi wa hizi bank. Hawajui kama makato pia yameongezwa
 
Tarrif Guide 2020 CRDB
 
NMB gani unayoipia upatu? National microfinance bank!? Hawa nao wanahitaji kujitathmini!
 
Kwa hapa mjini EQUITY BANK hawana makato hata kuangalia salio ni bure anatumia mke wangu, ila mimi natumia BANCABC makato ni kuangalia salio TU! Sema shida hawana branch nyingi kama hao majambazi.
Sasa si ndio mmeshawachongea hao Equity? muda si muda nao wataanza kazi.
 
Mkuu umetoa kwa njia hipi? Ya simu?
Kwa cheque mkuu, hata hivyo nilishafanya hivyo mara nyingi huko nyuma lakini sikuwahi kuona makato kama ya wakati huu, ndio maana nikasema kuna kitu kinaendelea ndani ya bank hii hatukijui.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…