Kweli CHADEMA wamepoteza mwelekeo (Bhahahaaaaa)

Kweli CHADEMA wamepoteza mwelekeo (Bhahahaaaaa)

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,775
Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa JPM kwa miradi mikubwa ya maendeleo aliyoitekeleza ndani ya miaka 5 ambayo sehemu yameorodhesha hapa >>> Awamu ya Tano yafanya makubwa kwa kipindi kifupi

Sasa hawa hawa CHADEMA mwanzoni mwa utawala wa JPM walisikika wakisema kwamba JPM anatekeleza ilani ya CHADEMA maana anayoyafanya ni yale yaliyomo kwenye ilani yao. Maneno haya yameendelea kuwatesa mpaka leo.

Sasa hivi wanasema hakuna hata 1 ambalo JPM amelifanya tangu aingie madarakani, yaani hata mtoto mdogo ukimwambia hivi anajua tu kuwa akili yako ina hitilafu. Kwa mujibu wa vikao vya ndani vya CHADEMA ambavyo nikivujisha audio zake hapa nitakuwa nimekizika rasmi nami nawa stahi, ni kwamba hawa mabwana wanatishwa na kasi ya JPM.

Wanadai amevuruga mipango yao, amefanya mambo tofauti na walivyo fikiri, ameenda mbele zaidi ya walivyo tegemea na sasa hawana sera ndio maana agenda yao kubwa msimu huu haitakuwa ufisadi tena, agenda yao ni kuhurumiwa na wananchi kwa risasi za Lissu (huku wamemficha shahidi no 1 ambaye ni dereva), watakuwa wanaomba pia huruma za wananchi kwa kitendo cha mwenyekiti kulewa chakari na kuteleza kwenye ngazi.

Hakika JPM umewachanganya watu. Mpaka JK amekuonea wivu, si mchezo. Safari hii unapata ushindi 99.9% na kura ya Lissu itaharibika maana atakuwa anapiga huku anashangaa mambo makubwa uliyoyafanya na atakuwa anawaza atawaambia nini mabeberu baada ya kushindwa.

Amen.
 
Tulia na unywe maji kwanza, maana naona kama umepanic vile!
Chadema ilishakufa, haipo tena! Kwa hiyo usipate shida. SGR, flyover na Stiglers zimetapakaa kila mahali nchini! Kila mahali watu wanashangilia JPM atawale milele!
 
Katika nchi zenye watu waliostaarabika, kauli tu za Magufuli zinatosha kumpiga chini achilia mbali uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi.
Hawajui hawa. Kwa kauli za Magufuli angetoa Sweden au India au Uk au hata hapo ghana tu kwenye demokrasia ya kweli Africa angepaswa kupigwa chini vibaya sana
 
Hawajui hawa. Kwa kauli za Magufuli angetoa Sweden au India au Uk au hata hapo ghana tu kwenye demokrasia ya kweli Africa angepaswa kupigwa chini vibaya sana
Hahahahahaaa, kutoka kwenye kulalamikia ufisadi mpaka kulalamikia kauli, bhahahahaaa, mmepoteana ngojeni October 28 tuwazike rasmi.
 
Shida sio usimamizi Bora tena, shida ni kauli tu?

Kama mipango inaenda sawasawa, hizo kauli Sisi sio chakula kwetu, tunachotaka kwake Ni Uwezo wake alionao Kwa ajiri ya kuijenga nchi Yetu basi, kama ni kauli, mbona humu humu kuna watu wanalopoka utadhani hawana wazazi bhana!
 
Hahahahahaaa, kutoka kwenye kulalamikia ufisadi mpaka kulalamikia kauli, bhahahahaaa, mmepoteana ngojeni October 28 tuwazike rasmi.
Kwanza Magufuli analalamikiwa kwa kauli tu??? Sidhani kama una akili vizuri au unajitoa ufahamu tu???

Huoni anavyolalamikiwa kuua uchumi?? Jioni anavyolalamikiwa kuua biashara za mazao kama Korosho, mbaazi na mahindi??? Jioni anavyolalamikiwa kwa kuharibu sekta binafsi na kuua ajira????
 
Nikumbushe ripoti ya benki ya dunia waliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu, wanasema uchumi wa Tanzania umekuwaje vile. Bhahahahahaa, Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuwaza kama wewe.
 
Mbona mnajichanganya Mara Chadema imefutika mara Chadema imekufa Mara chadema imepoteza mwelekeo mna kazi sana
 
Japokuwa siridhishwi na vyama vya upinzani vya Tanzania, ila uandishi wako ni too low! Nashangaa pia watu wanaohangaika kujibizana nawe
 
Nikumbushe ripoti ya benki ya dunia waliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu, wanasema uchumi wa Tanzania umekuwaje vile. Bhahahahahaa, Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuwaza kama wewe.
Hujui kuna ripoti nyingine inasema masikini wameongezeka kwa kiwango cha watu milioni 2 ndani ya hii awamu ya tano??!

Alafu unajua nini kilisababisha hadi tukafika hapo uchumi mdogo wa kati??? Unajua Magufuli alikuta figures zikoje kutoka kwa JK???? Unajua ameongeza nini ndani ya iyo miaka 5????? Kama Unajua hata usingemsifia humu kwa sababu nadhani hata wewe na ukilaza wako Ungeongeza hata dola 300 au 400 kwa hii miaka mitano ila yeye hajazidi hata dola 100 tena kwa miaka 5
 
Back
Top Bottom