Kweli CCM wanajuwa kulazimisha mambo

Kweli CCM wanajuwa kulazimisha mambo

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1406541617.183945.jpghuu ulikuwa utaratibu wa kukusanya watu juzi kwenye mkutano wa mwigulu mwanza.
 
imelazimisha kivipi,mbona hueleweki mzee mzima

Hawakubaliki lakini wanalazimisha watu kwa kuwapa skafu,kofia,pilau na kuwabeba kwenye mafuso ili kuonyesha watu bado wanakubalika lakini wapo ICU
 
Hawakubaliki lakini wanalazimisha watu kwa kuwapa skafu,kofia,pilau na kuwabeba kwenye mafuso ili kuonyesha watu bado wanakubalika lakini wapo ICU

we nidaktari hapo ICU CCM alipo lazwa??
 
Tulishajua hata kabla mkutano haujafanyika. Hawana watu mwanza mjini inabidi wadundulize. Kwanza mkutano gani wa serikali unavaliwa jembe na nyundo? Ni dhahiri walisafirishwa ili angalau kuwe na audience na haswa ndiyo lengo la kushehesha na ngoma za kienyeji.

Watu wa Mwanza haswa mnaosafirishwa na malori. Memjizira na kukosa tumaini kiasi gani hadi kuridhika na maisha hayo? Mmedharaulika kiasi gani kupandishwa malori badala hata ya kuwalipia nauli za bus? Ni kwamba hamna nguo za kuvaa hadi mvishwe jembe na nyundo ama mlindanganywa ni sare? Mnajua tofauti ya ziara za kiserikali na za kichama cha hao viongozi wenu? Ninajua hamwezi kulaumiwa kwa sababu ccm ni chama gandamizi kinachoendeshwa kwa vitisho kwamba ukiwa mwanachama, kama hukubaliani nao utakiona cha moto.

Najua ccm imeua wengi waliotofautiana na nia ovu ndani ya viongozi wa chama hicho. Lakini hawatawaua wote!. Kataeni kutumikishwa. Mnahitaji kuishi maisha huru na si utumwa!.

Jinsi ccm inavyowatishia haina tofauti na ISIS inavyoua watu hadharani na kuwatundika vichwa ili kuwatisha wengine. Ndivyo ukatili wa ccm inavyofanya mchana kweupe ili wengine muogope.

Nadhani sasa ni muda muafaka wanaharakati kwa umoja wao, wafanye crush program ya kufundisha elimu ya uraia na haki za raia dhidi ya wajibu wa serikali. Hali hii inatafsiri nyingi sana!. Poleni ndugu zangu wana ccm mnaotumikishwa kwa sababu ya umaskini na uelewa mdogo. Huo ndio mtaji wa ccm ilyobaki nao. LAKINI YANA MWISHO!.
 
we nidaktari hapo ICU CCM alipo lazwa??

90%ya watanzania mbona ni madaktari na wanauwezo wa kuipa ccm uhai au kuipokonya ila kwa wakati huu nakuakikishia wataipokonya uhai!
 
90%ya watanzania mbona ni madaktari na wanauwezo wa kuipa ccm uhai au kuipokonya ila kwa wakati huu nakuakikishia wataipokonya uhai!

nashkuru tukutane maktaba kwa mara ingine muda ukifika
 
nashkuru tukutane maktaba kwa mara ingine muda ukifika

Bila shaka una asili ya kigamba eeh?
Jibu Ndio au Hapana usipaniki kwa swali dogo kama hilo!
 
Bila shaka una asili ya kigamba eeh?
Jibu Ndio au Hapana usipaniki kwa swali dogo kama hilo!

mimi ni ccm gamba ni babu slaa ambae hadi sasa hajarudisha kadi ya chama ndo kati ya magamba tulio yavua...Amina je na wewe ni CHADUMAA,CHAGADEMA a.k.a Gossip house
 
mimi ni ccm gamba ni babu slaa ambae hadi sasa hajarudisha kadi ya chama ndo kati ya magamba tulio yavua...Amina je na wewe ni CHADUMAA,CHAGADEMA a.k.a Gossip house

Wewe hujakubali 3 unanilazimishaje 2?
Tafakari!!!!!
 
hueleweki mzee,jipange upya ni mekwambia mimi sio gamba

Karibu sana CDM mkuu ni sehemu pekee unaweza kupata ukombozi wa kweli wewe na kizazi chako na watanzania wote
Magamba soon watabaki historia kwenye taifa hili
Khaa nilishangaa pale mwanzo nikajuwa we gamba
Nikajiuliza huyu kijana ni wa kizazi kipi?
Ila safi nafurahi umekiri wewe sio gamba na usikubali kuwa gamba au kuwasapoti hiyo ndio nguvu halisi ya umma!
 
karibu sana cdm mkuu ni sehemu pekee unaweza kupata ukombozi wa kweli wewe na kizazi chako na watanzania wote
magamba soon watabaki historia kwenye taifa hili
khaa nilishangaa pale mwanzo nikajuwa we gamba
nikajiuliza huyu kijana ni wa kizazi kipi?
Ila safi nafurahi umekiri wewe sio gamba na usikubali kuwa gamba au kuwasapoti hiyo ndio nguvu halisi ya umma!

gamba ndio nini mimi sikuelewi magamba kwetu ccm niwale walio toka chama chamapinduzi kwakushindwa kwenda na kasi ya ushindani ndani ya chama
 
Back
Top Bottom