Kweli CCM Tunachukiwa!


Nakupata kamanda Tetty
 
Kuna mdau mmoja humu alikuwa akiitwa sixgates sijui alikimbilia wapi kipindi upepo unaanza kuvumia upande wao,maana leo nyeti zake zingekuwa wide open.

nimecheka hadi nikapaliwa!
 
Last edited by a moderator:
Jamani team Lumumba mko wapi?
 
Uchunguzi huo ulifanyia wapi wewe gamba huu ndio mwisho wenu ccm haipendwi kila sehemu na bado chama kinachukiwa mpaka wenyeviti wnajiuzulu kila siku mpka sasa wenyeviti watatu wa mikoa na mwenyekiti wa wenyeviti naibu waziri waziri mkuu bado unajiongopea gamba wewe
 
Naimani hata wewe unakichukia ila ulikua unaigiza tu kuwa mwana sisiem
 
Usivunjike Moyo mkuu hao ni binadamu wasio na shukrani. Huwezi kuamini kuwa wanaopinga ccm Leo hii ni wenyeji wa Moshi na Arusha ambapo maendeleo waliyonayo hayafikii mikoa mingine kwa maana ya serikali ya ccm kuwekeza katika maeneo kuliko kwengine lakini hawana shukrani hata kidogo kisa wanataka rais awe mchaga au mmeru.
 
Mnao tetea ccm msiniharibie siku yangu tazavali sana. Niwatetee walio nipigisha makitaimu miaka 54. Ati wanasema Makofuli katengeneza barabara Tz nzima. Hizi nazo ni za kujisifia? Na aende hapo jirani tu Nairobi aone barabara zilivyo nazo hizo Kenya wanaona si za viwango.
Angetengeneza moja tu ya 4 lane angetamba vipi?
Alipoingia madarakani JK mkate ulikuwa shs ngapi? Leo nanywea chai mihogo?? Tena wa kuchemshwa!! Sukari ilikuwa shs ngapi? Leo tunatumia ubuyu kutengenezea togwa la uji??
Jamani mmeiharibu siku yanguuuuu. Furaha yangu ni kwamba nimejiandikisha, tarehe ikifika tu, nipo mlangoni kwa mtendaji kata kuhakiki kama silaha yangu ya kuiangusha ccm ipo fit. 25 Oktoba, naisubiri kwa hamuuuuu
 
Naimani hata wewe unakichukia ila ulikua unaigiza tu kuwa mwana sisiem
 
Huo ni utafiti tosha. (2/25)x100% = 8%. Maana yake kwamba asilimia 92 ni UKAWA na 8% tu ndo CCM. Hata mimi kwenye daladal la watu takribani 40, ni mmoja tu alikuwa anamtetea Magufuli against Lowassa. Sasa CCM watakuja na tafiti zao wanasema, Magufuli anaongoza. Thubutu, mwaka huu mi ntakufa tu, siwezi kushuhudia dhuluma nyingine.
 
Pumzika salama C.C.M, tulikupenda sana, lakn Rushwa na ufisadi viliwapenda zaidi, mlikuja kwa KIJANI na mnarudi kwa MANJANO, NYUNDO tutatumia kugongelea JENEZA lako na JEMBE tutatumia kufukia KABURI lako! MUNGU ibariki CHADEMA MUNGU ibariki Tanzania, C.C.M PUMZIKA KWA AMANI, PEOPLES POWER LOWASSA POWER,
 

Attachments

  • 1439140900518.jpg
    10.1 KB · Views: 259
Naimani hata wewe unakichukia ila ulikua unaigiza tu kuwa mwana sisiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…