Kweli ccm mazumbukuku hawaelewi kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli ccm mazumbukuku hawaelewi kitu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilolambwani, Mar 15, 2011.

 1. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nawashangaa hawa uvccm wanaotaka kuandamana kuunga mkono hotuba ya rais. Kwani rais aliongea lipi la maana. Ina maana hawa ccm wanaishi maisha mazuri, hawana maisha magumu kama wananchi wengine? Kwanini wanashabikia uozo wa serikali hii?
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  piga kazi kaka achana na majuha
   
 3. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zumbukuku mwenyewe. Hakuna la maana aliloongea!!!! Wewe na hao wazururaji wanaopita kila mkoa kupiga kelele akili yenu moja. Kama kweli wana akili timamu wangemuiga Mzee wa Kiraracha anayepiga mzigo kweli kweli katika Halmashauri za Wilaya hadi kuwapeleka mahakamani. Lakini kuzunguka mitaani na kutafuta watu wa kuunga mkono ufinyu wa siasa halafu unaita ndiyo nguvu ya umma ndiyo UZUMBUKUKU halisi, upo???
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu punguza jazba, hoja hujibiwa kwa hoja! Au kwenu wote KAMBALE??
   
 5. J

  Joblube JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama hana hoja lazima amwage upupu
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  ukiwa ccm lazima ujifanye kilaza ili upate mkate wako, hata wao wanajua rais wao hakuongea ambacho wananchi walitaka majibu na ufafanuzi, ilikuwa ni kulia lia juu ya maandamano na hoja cha CHADEMA, anyway waacheni wampongeze.
   
 7. cream.b

  cream.b Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  birds of the same feather flock together Wote akili Zero namatatizo yote bado ujinga upo
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Na kweli, naona ameamua kutokomea!
   
 9. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm mambo yameshawawia maji ya shingo, magumu kwelikweli
   
Loading...