Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,461 Reaction score 38,184 Dec 30, 2017 #21 Duh siku hizi ukimsema Bwana yuleee TRA,Police,Wizara ya Ardhi,Msemaji wa Serekali .....Wote wanakuja kama mvua akili wanaziacha nyumbani
Duh siku hizi ukimsema Bwana yuleee TRA,Police,Wizara ya Ardhi,Msemaji wa Serekali .....Wote wanakuja kama mvua akili wanaziacha nyumbani
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,781 Dec 30, 2017 Thread starter #22 abdallah chongono said: Viongozi wa kislam ongeeni msiludi nyuma Click to expand... we asee, mi sijakuelewa ujue!
abdallah chongono said: Viongozi wa kislam ongeeni msiludi nyuma Click to expand... we asee, mi sijakuelewa ujue!
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,781 Dec 30, 2017 Thread starter #23 Pohamba said: Wazee wanataka aoneshe hizo hela nyingi alizonazo kuliko Serikal 'Serikal imshughulikie kwa Njia za Azimio la Arusha' Click to expand... kwa mujibu wa katiba ya nchi ni makosa na hairuhusiwi kukagua au kutoza ushuru wala mapato kwenye sadaka, bassss, awape vitabu vya sadaka ili wauone utajiri wake humo??
Pohamba said: Wazee wanataka aoneshe hizo hela nyingi alizonazo kuliko Serikal 'Serikal imshughulikie kwa Njia za Azimio la Arusha' Click to expand... kwa mujibu wa katiba ya nchi ni makosa na hairuhusiwi kukagua au kutoza ushuru wala mapato kwenye sadaka, bassss, awape vitabu vya sadaka ili wauone utajiri wake humo??
kipusaah JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 252 Reaction score 243 Dec 31, 2017 #24 [HASHTAG]#akatubuuu[/HASHTAG]
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Dec 31, 2017 #25 Huyo jamaa wa tiaraei anasura mbaya hiyo pua sasa..............naona na akili zake zimefanana na lisura lake
Huyo jamaa wa tiaraei anasura mbaya hiyo pua sasa..............naona na akili zake zimefanana na lisura lake
A abdallah chongono JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 351 Reaction score 196 Dec 31, 2017 #26 Waambie ukweli