Kweli bia tamu...

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,612
Reaction score
65,065
Niko hapa pembeni mwa shemeji /wifi yenu tukiwa kwenye mapumziko ya sherehe za mwisho wa mwaka. Kinachonisikitisha zaidi muda huu, ni kuwa muda wote yupo bize na watoto tu; wakati na mimi mtoto wake mkubwa nipo, na hanipi attention yoyote.

Baada ya kushika bia tu, stress zote zimeondoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚; Nawatakia herry ya Christmass na mwaka mpya.
 
Acha ulevi
 
Kula bia mkuu..... and Merry Christmas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…