kUNA KWAYA MOJA YA MBEYA MJINI WOTE WALIPUKUTIKA KWA NGOMA.
KAZI ILIKUWA KUDUKUANA TU MWANZO MWISHO.
YESU KIDOGO UZINZI SANA
kUNA KWAYA MOJA YA MBEYA MJINI WOTE WALIPUKUTIKA KWA NGOMA.
KAZI ILIKUWA KUDUKUANA TU MWANZO MWISHO.
YESU KIDOGO UZINZI SANA
Wanakwaya wenzangu
embu naombeni tuache kumcheze mungu..hapa jiran kuna kanisa ambalo limekuwa na malumbano ya wanakwaya kuchapana mara kwa mara na hili likifika kwa mchungaji anawaita wanatuliazwa yanaisha na bayazaidi wale vichwa wazuri wa kupiga vyombo ndio wanawaaribu madada wa kwaya
wapendwa embu acheni kutumia kwaya kama vivuli vya maasi vyenu kuna sehemu nyingi tu kwa nini mkamchezee mungu kama ni mziznzi kwa nini ujifiche kwenye kilindi cha kwaya acha nasema acha tena ushindwe na ulegee na wewe unaefikiria kujiunga kwa ajili hiyo aacha kabisa jiunge kama umeitwa na mungu kufanya hivyo..usiwafate vidosho ama kutafuta mchumba kupitia kwaya
nawatakia wito mwema
Dahtizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Tumpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu.Kuitwa jina la kikrsto au kuimba kwaya haimaanishi kuwa ni kristo wa kweli.Ni kutimiza wajibu na kuenenda na 'fasheni'.
Kusema Bwana asifiwe sio sababu.Bible inasema waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache, na sio wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme.
Lakini shika sana ulichonacho,asije mwovu akakupokonya.
Hahahahaha! LOL! Why?i thought ni Chrispin ndo kaanzisha hii thread
tatizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Mkuu MJ yaani imefikia mahali hata mtu akicheat atamsingizia mchina................Wewee wakikusikia hapa! Tunawasingizia bure hata shetani hii dhambi si yake!
tizo ni UKRISTO wa kichina unaharibu.
Tumpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu.Kuitwa jina la kikrsto au kuimba kwaya haimaanishi kuwa ni kristo wa kweli.Ni kutimiza wajibu na kuenenda na 'fasheni'.
Kusema Bwana asifiwe sio sababu.Bible inasema waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache, na sio wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme.
Lakini shika sana ulichonacho,asije mwovu akakupokonya.
Watu tumesahau maandiko na kufuata nguvu ya shetani.