Kwaya gani iliimba wimbo wa " Hati ya Mashtaka"?

Kwaya gani iliimba wimbo wa " Hati ya Mashtaka"?

Nilipata kujumuika na Victory singers mara mbili walipoitembelea nchi ya Kenya miaka ya 90s na hakika nyimbo zao zilinibariki sana. Cha kunishangaza ni jinsi walivyotoweka na nyimbo zao kupotea kabisa! Bado wapo tena?!

Wapo sana mkuu......na wanaendelea kumtukuza Mungu.
 
Mkuu ni kwaya ya Kinondoni Revival singers, Naipenda sana hiyo kanda japo ni ya zaman kidogo lakn sidhan kama bado zinapatikana madukani.

Ni "Victory singers" ya kinondoni TAG Church
 
Back
Top Bottom