Wadau wa nyimbo za injili kuna wimbo mmoja Isaack Ndodi anapenda kuutumia katika kipindi chake kinachotangazwa na RFA kila siku saa 4 usiku. Moja ya mistari ya wimbo huo unasema HAKIKA NATEMBEA MIMI NI MAREHEMU. Napenda kujua:
1.wimbo huu uliimbwa na kwaya gani?
2.Je, Mch. Ndodi analipia chochote kwa kwaya iliyoimba wimbo huo? Maana unatumika sana kutangaza biashara yake.
Naomba majibu yenu wale wanaojua.