Ukivuka na pantoni au sea tax kutoka kivukoni unakuja Kigamboni Ferry then utaelekea maeneo mbalimbali ya Kigamboni kama mji mwema, maweni, geza, darajani, kisiwani, Sido, Tungi, kwa urassa, n.k
Saa moja navuka hapo nije Tabata songa ugali mwingi π
Hongera sana chief,pepo unayo mkononi kwa kujua kwako kufunga kwa imani yako but kama unadhani Mungu anapima kwa mzani mdogo kama huu wewe ndiye unayeshinda njaa.
Hongera sana chief,pepo unayo mkononi kwa kujua kwako kufunga kwa imani yako but kama unadhani Mungu anapima kwa mzani mdogo kama huu wewe ndiye unayeshinda njaa.
Nyie kuleni kitimoto na bia muende studios muimbe nyimbo za kusifu muweke vipuli msuke mshindane na diamond na alikiba nyie na kufunga Wapi na wapi? Au mnataka kuchekesha watu
Nipo Kigamboni barabara ya machava kwenda kanisa la Roma, fremu zinatazamana na jeshi la wanamaji kigambn duka namba kumi na mbili tupo barabarani hapo mkuu!
Leo nimewahi mapema misa ya kwanza ili niendelee na majukumu..
I hope na wengine mmeshiriki au la jioni msikose misa hii muhimu ya kutukumbusha sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi...