Tuombeane kwa Mungu azipokee toba zetu madhaifu na tabia mbovu tulizozoea kuziishi huko nyuma Kwaresma hii ikaziondoshe kwetu tubaki wasafi hata milele.
Nipo Kigamboni barabara ya machava kwenda kanisa la Roma, fremu zinatazamana na jeshi la wanamaji kigambn duka namba kumi na mbili tupo barabarani hapo mkuu!
Leo nimewahi mapema misa ya kwanza ili niendelee na majukumu..
I hope na wengine mmeshiriki au la jioni msikose misa hii muhimu ya kutukumbusha sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi...
Leo nimewahi mapema misa ya kwanza ili niendelee na majukumu..
I hope na wengine mmeshiriki au la jioni msikose misa hii muhimu ya kutukumbusha sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi...