Kwaresma na Pasaka Special Thread

Injili ya mwana mpotevu aliye amua kurudi kwa baba yake

Luka 15

Nasi katika kipindi hiki cha kwaresma tumrudie mola wetu

Kwaresma njema
 
MUNGU ni mwema sana

Naendelea kumshukuru kwa kunipa nafasi hii ya upendeleo ya kufunga katika kipindi hiki
 
Tunaendelea na kipindi cha kwaresma

Leo ikiwa ni tarehe 31 mwezi march

Ni kumbukumbu ya mtakatifu Benjamin kutokea uajemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…