Kwann nimewah kuoa!!!


Napenda fazaa unavyomsifia mke wako na kumuheshimu hata kama unafanya mambo yako bado unamuona ye ndo malkia wengine wa kupita barikiwe kwa hilo
 
Napenda fazaa unavyomsifia mke wako na kumuheshimu hata kama unafanya mambo yako bado unamuona ye ndo malkia wengine wa kupita barikiwe kwa hilo
Tubarikiwe sote na asante sana Eversmilin Gal

Mambo gani bado nayafanya hahaha mbona nimetulizana tu:biggrin:
 
Last edited by a moderator:

Wewe WIYELELE! Nani kakwambia nmeolewa na material-less! Si anaogopa akishndwa watam2nzia 2 maana bdo nalipa mie! Upo hapo! Moneys makes the world go round! Au wewe ndo bahili! Toa nawe upewe!mh
 
Napenda fazaa unavyomsifia mke wako na kumuheshimu hata kama unafanya mambo yako bado unamuona ye ndo malkia wengine wa kupita barikiwe kwa hilo

Atampondaje kati yuko humu na anajua id na pasword! Mh! Lake rohoni. Mh!
 
Hao mafaza fanta wakikutana na mm mweeeee kwa boom ntakalo mpa yemwenyewe atasanda
 
Hapo kwenye bluu huwezi ukampenda wakati umeoa, hapo unakuwa umemtamani tu,,,,,,,,,,,,,ni vizuri kuwaambia tu nataka nikugegede basi......!!

Unashangaa hayo! W/ume mnashangaza! Mtaani hku kuna mbaba wa kigoma alimchumbia binti nusura afunge ndoa kanisan kwan sendoff wz done olready! Mke akatonywa wacha aende kwa padri kupinga ndoa hyo! Aibu aibu! Wanaume mnatisha kama ukoma! Hata hofu ya Mungu hawana! Viapo je!
 
Wewe WIYELELE! Nani kakwambia nmeolewa na material-less! Si anaogopa akishndwa watam2nzia 2 maana bdo nalipa mie! Upo hapo! Moneys makes the world go round! Au wewe ndo bahili! Toa nawe upewe!mh

Nimekupata! No other comment!
 

waongo hao huwaambia hivyo wadada ili wajisikie ni wazuri na ni wa kipekee. lugha hiyo huwafanya wadada wawakubali kirahisi kwani akienda kwa mdada na kumwambia mke wangu ni mzuri hatamkubali.
 
Hahahahaahahah! weweWiyelele unamchokoza Zanzsco, mm simo na wala sitakugombelezea utakapo anza kuchapwa makonde. Mimi nakaa mbaliiiiiiiiiiii.
 
Hahahahaahahah! weweWiyelele unamchokoza Zanzsco, mm simo na wala sitakugombelezea utakapo anza kuchapwa makonde. Mimi nakaa mbaliiiiiiiiiiii.

Hadi hapa nimefyata mkia, hata akinichapa sawa tu maana tayari keshapata salute yangu.
 
Thats annoxymoron....hating and loving their care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…