Kwanini?

kuna tofauti kati ya nguo na hizo kondom
uvaaj wake is a bit complicated

wanawake mnajiendekeza kutotumia kondo za kike.
Hatua za kuitumia kondom ya kike.
1)fungua kondom kutoka ktk pakt yake kwa uangalifu.
2) ikunjue na utaona ring mbil,ndogo na kubwa.
3) mkao wa kuva kondom unaweza kuchuchumaa,kulala chal na kupanua miguu,kuweka mguu mmoja sehemu ilo inuka kama kit,meza,kitanda nk.
4)mwanamke anashika ring ndogo na kuibinya ktk il kupata umbo namba "8".
5)Taratibu ingiza hiyo ring ndogo ikiwa na shape 8 uken huku mwanamke akiwa kwenye mkao aliochagua.
6)kwa kutumia kidole cha kat sukuma kondom had iingie uken.
7) ring kubwa(ambayo baadh ya wanawake hutumia kama bangil la kuvaa mkonon kutokana na mng'ao na uzur wake)hubak juu ya uke.
8) wakat wa tendo mwanamke ashike uume na kuungiza mwenyewe uken.
Nb.
Kondom ya kike inaweza kuvaliwa hata saa 1 kabla ya tendo.

Ugumu hapo ukowap? Jaman nyie wanawake kuwen responsible na afya zenu bwana.
 
Ni kweli kabisa, wengine wanajifanya wanaziweka vizuri kumbe anaichana au kuiondoa kabisa, heri tu walete hizo jel tuone mambo yatakuwaje. Ila kama hzo za kike ndo zilivyo hivyo sio user friendly kabisa.....itabidi nizitafute nizione
..ya....tafuta uzione...na jaribu pia kuzitumia (for fun)......Hizi condom ni mfuko per se.....yaani unapovaa unakua mithili ya dust bin iliyovikwa mfuko wa kukusanyia taka....na unapokomaliza kukojolewa unauvua (mithili ya mfuko wa taka)..

....shida yake ndio hiyo hauko user friendly....lakini kubwa zaidi(nadhani)ni kwamba mfuko huu unazuia kwa kiasi kikubwa feelings(hisia)kwa wote wawili wakati wa game.....maana unamkinga mwanamke kuguswa sehemu zake nyeti ndani ya uke na hivyo kumpunguzia hisia kwa kiasi kikubwa....

....Mfuko huu unawafaa sana madada poa....maana wao maswala ya hisia wakati wakiwa kazini si issue....kwa hiyo ni poa tu wao kujivisha fuko hili kabla ya kazi.....na kuendelea kukinga mzigo kadri watakavyo wakati wa game...hisia kwao si big deal......
 
Alifanya hivyo kwa tamaa ya nini?
 
He he he, mie napenda kumrudishia uhai babu tu

Najua hana meno, hawezi tafuna mhogo mbichi, hushangai siendi kwa wenye meno?

Sasa wewe mbona unasumbuaga sana?

Hiyo moja utaiwezaje?

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…