Kwanini?

Huwezi kulinganisha vile vinguo na huo mfano wa hyo ndom hapo juu, kwanza ina vifundo viwili, sasa hapo kuvaa si mpaaka uwe mtaalam jamani?

kwa nini usiji funze? na hiyo hili uvae lazima ulale chali na hicho kifundo kidogo kinazama ndani hicho kikubwa kinabaki juu. hakuna condom hisiyo na masharti ya uvaaji.
 

That is true. inatisha na inasikitisha. nilishachunguza hii kitu. nishawachukua wanawake kadhaa ambao jamii inawaheshimu na wengine wana wanaume zao(kila mmoja kwa muda wake) nikawapeleka shopping nzurinzuri na kwenye hoteli nzurinzuri. kabla hata hatujaanza kusaula nguo ndani ya chumba cha hotel nikawa nawaambia nimesahau condom hivyo sina condom, cha kushangaza unakuta wanaendelea kujiandaa na tendo na sio kukataa, na wanakuwa tayari kabisaaa kufanya tendo bila condom, hapo najifanya sikuangalia vizuri kumbe ninazo, then tunatumia.
Nilikuwa nachunguza tu lakini matokeo ya uchunguzi yalinikatisha tamaa mno, nikawa najiuliza sasa mke ntakae muoa nae anaweza kuwa hivi au la? Sasa akikutana na muhuni asiyejali inakuaje?
Nadhani mdada akishoboka anashoboka all the way, na wanaume wanaojihisi kuwa na vvu huwa pia hawajali.
 

.....soon kutakuwa na protective vagi.nal gels....ambazo mwanamke anaweza kutembea nazo...na akitaka kufanya ngono kavu (bila ndom)anaweza kujipaka gel hii chini (ukeni) na ku enjoy game.....Gel hizi ziko kwenye final phases za clinical trials tz....na zimeonekana kuwa na uwezo wa kuwakinga wanawake na maambukizi yote ya chini (STDs)..including HIV....

.....gel hizi ni rahisi kutumiwa na wanawake kuliko condom za kike.....ambazo hampendi nyie wanawake kuzitumia....ndio sababu mnabaki kutegemea maamuzi ya wanaume kwenye kutumia condom za kiume.........

Sources:
http://www.foxnews.com/story/0,2933,173867,00.html
http://www.webmedcentral.com/article_view/1292
http://en.wikipedia.org/wiki/Microbicides_for_sexually_transmitted_diseases
http://www.timeslive.co.za/thetimes/2013/06/19/hope-as-women-test-hiv-gel
http://www.trialsjournal.com/content/14/1/33
 

labda alikuwa na kiu sana.
 

Hope hii itawakomboa wanawake kiasi flani maanake kwa sasa mhhhh ile kitu ya kike hata sio kabisa
 

Kwa hiyo unawalalamikia wadada? haha wamekushikia panga kwani??
 
Hope hii itawakomboa wanawake kiasi flani maanake kwa sasa mhhhh ile kitu ya kike hata sio kabisa
...wazi...sijawahi kukutana na mwanamke anayependa condom za kike....wakati zimeundwa kwa ajili yenu....na pia zinasaidia sana kumweka mwanamke kwenye nafasi nzuri ya maamuzi ya kujilinda.....maana unapotumia condom ya kiume ni rahisi sana kwa mwanamme kuamua kutumia au kutotumia......in fact mwanamme akiamua kutotumia hata kama mnazo anaweza....maana anakuzuga tu kuvaa....lakini ukiwa umekolea kisago anavua....na wanawake wengine wala hawana hata sense ya kujua sasa condom imo hama haimo.....na n ndio sababu watu wamebuni hizi vag.gels......ili mwanamke awe na jeuri zaidi ya kumiliki uchiwake wakati wa game....
 
kwa nini usiji funze? na hiyo hili uvae lazima ulale chali na hicho kifundo kidogo kinazama ndani hicho kikubwa kinabaki juu. hakuna condom hisiyo na masharti ya uvaaji.

Hahahaha masharti ya hii yamezidi khaaa
 
utamu unaweza kufanya ndom uvae kidole gumba baada ya kwenye dushelele...
 

Ni kweli kabisa, wengine wanajifanya wanaziweka vizuri kumbe anaichana au kuiondoa kabisa, heri tu walete hizo jel tuone mambo yatakuwaje. Ila kama hzo za kike ndo zilivyo hivyo sio user friendly kabisa.....itabidi nizitafute nizione
 
Hii mambo haina formular nakumbuka first time nas3x na hyu boy wangu who is married tulicheza peku,hakuja na ndomu nami sikuwa nimenunua,akaniuliza unaniamini?nikamjibu yes kwa kuwa najua ana mke na watoto,basi akanibeba hadi kwa bed tukabanjuka peku since then tunat.ana peku
 

hii nasikia iliwahi kufanyiwa majaribio nchini Uganda....
 
Wadada wengi huwa hawawezi kusisitiza kinga na hasa jamaa kama hajali basi wao hujirisk tu. Utashangaa sana , hata mimi nimewahi kushirikishwa na rafiki yangu siku nyingi kua alipata rafiki wa kiume na siku hiyo hiyo wakafanya kila kitu ambacho wanandoa wanafanya tena bila kinga. Nikamhoji sasa kama sasa hivi ukiambiwa jamaa ni positive itakuaje akabaki kukenua meno tu.
 
hii nasikia iliwahi kufanyiwa majaribio nchini Uganda....
..yap...hata tz imewahi kufanyiwa majaribio kule Mwanza (NIMR)....in fact hii trial imehusisha Tz...uganda...na South africa (in collaboration)...
 

Maisha matamu ila mafupi asee. Waafrika wengi sana hawazingatii hii kitu kabisa,hadi tendo likishaisha ndio mtu anajuta Mungu asimamie tu.
 

Hahahaha nikiwe acha kujilipua mpnz
 
Last edited by a moderator:
ndiyo maana enzi zangu nilikuwa natembea na Bioline (kumbuka enzi hizo zilikuwa bado hazijaletwa feki)
 
matokeo yake vipi?
....matokeo yake ni very promising......tayari kuna publications nyingi tu juu yake......waweza kusoma baadhi kwenye attached references zangu (sources) kwenye post no.63 juu......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…