Kwanini?

sio ku x bila ndom na mtu mwenye waya ni lazima utapata mdundiko (ukimwa)
but ni imani na kwa ajili ya afya tu, kwa mtu kama mimi unaweza kunipa mtu mwenye ukimwi nika sex naye zaidi ya mara 3 bila kupata maambukizi,

ila kumbuka Condom huokoa maisha na maambukizi!! take care
 
Kuna kaukweli hapo maana wadada wengi wakiingia kwenye uwanja wa mapambano huwa hawabebi condom na kumwachia mwanaume kila kitu hivyo kuna uwezekano kama mwanaume hajitambui akipiga kavukavu hasa ukizingatia mkiingia eneo la tukio huwa kunatanguliwa na bambazi (romance) na kama jamaa linagusa kila idara mwiasho wa siku unakuta limepiga kitu bila condom kumzuia unataka na mautamu nayo unayataka mwisho wa mchezo ndio unaanza kujiuliza. Kwa ulimwengu wa sasa inabidi na kinadada wakubali mabadiliko ya kubeba condom hasa unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza hata kama unampenda ili kumwona uwezo wake wa kujali na ikitokea anataka kupiga gemu unamwuliza kondom akisema hana unatoa maana kuna wanaume wengine ni noma huwa hawajali na ndio maana hata huyo jamaa mnaepiga nae kazi alisema hivyo kutokana na uzoefu uliopo wa mwanamume kubeba condom huku mwanamke akiingia bila kitu (basi wabebe hata zile condom za wanawake japo kinadada wengi huwa hawazifagilii)
 
Jodoki Kalimilo na huyo jamaa alisema naongea hivyo kutokana na uzoefu
na mkianza kuchokonoa pale usipokuwa makini posibility ya kwenda kavu inakuwa kubwa

hizi condom za kike huwa zipo lakini hazitumikagi sana sijui kwanini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hhahaha na wewe umo kumbeee eti nisikukumbushe, ila bwana umakini unahitajika

Si ndo wote bwana! Unafikiri yupo aliyesalimika kwa hilo! Tatizo hamna uaminifu siku hizi, mnaweza kuanza vizuri tu kwa kupima na kila kitu kikawa shwari, then mmoja akaanza kuruka ukuta...si ndo yale yale tu.
 
Hapo sasa, ila mara nyingi ukiwa mwaminifu mungua atakupatia mwaminifu pia....ila kama kicheche ndo hapo
 
Jodoki Kalimilo na huyo jamaa alisema naongea hivyo kutokana na uzoefu
na mkianza kuchokonoa pale usipokuwa makini posibility ya kwenda kavu inakuwa kubwa

hizi condom za kike huwa zipo lakini hazitumikagi sana sijui kwanini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

It seem like hazipo user friendly kwa jinsia zote pia hata bei yake kidogo ni kubwa plus access yake ipo limited kulinganisha na hizi za kiume
 
Kwa maoni yangu mimi hiyo ndom inazuia maambukizi ya VVU kwa asilimia ndogo sana, kumbuka hutumika katika hatua ya mwisho ya mapenzi, kabla ya hapo kuna mambo wengi ambayo yalishafanyika yakiwemo (oral na licking) ambayo haya ni hatari zaidi ya (hiyo vaginal penetration) kwa sababu kukiandaliwa vizuri huko ni greesy and slepary labda mtu awe na uchu kama ametoka kambini.... Mimi nasisitiza kupima kwamba ndio tendo lufuate, vinginevyo utaishia kuwa na mawazo ya muda mrefu kutokana kitendo cha kizembe za muda mfupi...!!!
 
all in all na ugumu wa maisha nao unachanganya watu hadi wanajikuta wanafanya mambo ya ajabu ajabu

ugum wa maisha upo every where lakin hatutakiwi kuuendekeza hata kidogo
eti mtoto anaumwa unaamua kwenda kujiuza upate hale ya dawa haya leo
kaumwa kajiuza kesho akiumwa utafanyaje tena!!!!!

we should focus on Long term means na sio short cut they led us to nowhere
 
Sijawahi kuona ndom za kike, hivi ndo zikoje?

Maelezo ya kina sina ila kiufupi zinakuwa na ring mbili ambazo ukishaivaa ringi moja inakuwa ndani ya K na ring nyingine inakuwa nje ya K inazuia ile ndom isizame ndani wakati wa shughuli, for more detail see the illustration below;

Kaz kweli kweli, heri hata wangeitengeneza kama chupi ivaliwe
 
Tatizo, mazingira yanaweza changia huyo mtu akafanya hivo.. unapo zungumzia matatizo kama haya usisahau, historical backgroung, mazingira aishiyo huyo mtu, tabia yake ki ujumla na hata kampani yakee....

Si shangai kabisa.
Linapokuja swala la matumizi ya condom mara nyingi wanawake hawana nguvu kabisa. na hata angekuwa na msimamo vipi akikutana na mwanaume king"ang"anizi huwa hawana ujanja. ukweli ni kwamba matumizi yan condom au lah huwa ni maamuzi ya mwanaume mara nyingi.
 
Kaz kweli kweli, heri hata wangeitengeneza kama chupi ivaliwe

Na hapo sasa nadhani wengi huwa hawapendi kuitumia maana uvaaji wake mpaka mguu mmoja sijui unyanyue huku umekunja ki-ring kimoja, kiujumla inahitaji semina elekezi zaidi tofauti na za kiume plus na wanaume wengi wala chips sijui kama zitamfikisha popote bidada
 
Sijawahi kuona ndom za kike, hivi ndo zikoje?

zipo sema mnategemea wanaume wawavalie condom badala yenu. alaf hizo zenu unaweza kuvaa hata masaa mawili kabla ya tendo.
Kwa sababu nyie hampendi kuziona za kwenu ndio maana wanaume wanakuwa waamuzi wa kuvaa au kutovaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…