Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Bado nasubiria mtu aliye makini ajiunge na hiki chama/zzk maana wote waliojiunga naye hadi sasa hutakiwi kuwa na elimu ya Std VII kujua kuwa ni maopportunists chipukizi tofauti na yeye opportunist aliyekubuhu!
 
Zitto aeleza alivyoshiriki kuanzisha ACT magazetini leo, hakika chadema ilikuwa sahihi kumfukuza huyu zitto na wenzake kitila na mwigamba wana ndimi mbili kama nyoka
 

hovyo kabisa
 

na huo ndio mpango wao, kuiua chadema katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
Ili kujua kuwa mleta mada ana hoja je haya anayoaongelea kuhusu Zitto kweli si kweli?
 

Wewe ni mjinga sa unamuhuliza hameathilika vipi katika maisha uwezi kujua huyo jamaa ni mpenda Watanzania masikini wanaopenda kuendelea zitto haliaminiwa na wanyonge kama huyo jamaa sasa zitto kamsaliti kwa nini?wewe ni msaliti Wa wanyonge na adhabu yako ni kutembea uchi.Act ccm.


swissme
 
-

- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi.
Yaani ni kweli kabisa, watanzania tumebakia midomo wazi kwa udumilakuwili wa huyu jamaa!, Yaani anajiunga kwenye chama siku ya tano anapewa UKUU wa chama!, Watanzania amkeni, kuweni makini na wanasiasa kama hawa ni HATARI.
 

Mkuu swissme watu wengine humu bado wana dozi ya ugonjwa wa akili kwa hiyo kuwajibu ni dhihaka kwako brother, achana nao walishaamua kujiondoa akili
 

Attachments

  • 1428561800161.jpg
    22.8 KB · Views: 432
jitahidi kusoma na kuelewa kwanza kabla hujapost utumbo wako hapa.

Mkuu asikuumize kichwa hawa Team buku saba wa Lumumba huwa wanaongozwa na tumbo kufanya jambo lolote,kichwa kwao ni kwa ajili ya kufugia nywele tu na si vingine.
 
divide and rule is what CCM anafanya sasa.. mkiwa tunapiga kelele badala ya kujiimarisha kumtoa CCM madarakani october inaweza kuwa ngumu tuwe makini,...... ACT ni mtoto wa CCM
Hadi wewe unaelew hilo basi ni kweli Act ccm


swissme
 
Mwenye makengeza.sasa hivi atapiga sana pesa za ccm kabla hawajastuka.


swissme

Aje hapa akane kuwa hapewa pesa na serikali ya ccm kuptia akaunti ya mwanamke mmoja huko ujerumani.
Akatae kuwa hakuonana na bwana Kimei wa CRDB bank na kupewa pesa ambapo mgawanyo wake umekwenda kwa watu ambao leo wote wapo ACT, aje akane namba za simu zote zilizotolewa kuwa ni za kwake na zilikuwa zinagawa pesa kwa m pesa. Aje akane vikao vyake baina yake na mwigulu, wasira na lukuvi katika hiteli tofauti tofauti arusha na dar es salaam.
Aje hapa kama yeye si msaliti.
 
divide and rule is what CCM anafanya sasa.. mkiwa tunapiga kelele badala ya kujiimarisha kumtoa CCM madarakani october inaweza kuwa ngumu tuwe makini,...... ACT ni mtoto wa CCM

Mkuu nimeamini Zitto kawashika pabaya,Mpaka wewe MISS CHAGGA umekimbia MMU kuja kutetea Chama chenu.Ubaya mlidanganywa na Zitto kwamba anaacha siasa mkaingia mkenke mkamfukuza.Daa haya bana mimi ntakuja kusoma post zako MMU maanu huwa zinanichekesha sana.
 
wape kadi wanaofanana na wewe
 

mkijibu hoja hizo hapo juu nahamia ACT kesho asubuhi na mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…