LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,724
- 13,463
×Mzanzibari Ruksa kumiliki Ardhi ya Bara ila Mtu wa bara anakuwa na kibali tu kumiliki Ardhi kule zenji yaani ukiwa zenji huna mamlaka ya 100% kumiliki ardhi ukiwa umetoka bara
×Makamu hadi Raisi wa Tanzania tunagawama Either makamu atakuwa Kutoka Zenji au Raisi atatoka zenji kabisa , mfano ni mzee Mwinyi,Mama Samia na wengine , ila Zanzibar Raisi hadi makamu mpaka Teuzi zao ni za kwao peke yao Bara nafasi hatupati kule
×Sasa nachojiuliza Zanzibar kuna nini ambacho kinatufanya tunawabembeleza kiasi hiki, kuna kipindi nilizani labda wana utajiri wa madini na mafuta kama Congo na Saudi arabia labda ndo kitu kilichotufanya tuwakumbatie ili na sisi tunufaike na huo utajiri wao tutajirike wote ila naona wenzetu hawana utajiri wala maliasili za maana kama mafuta,gesi na madini ila chao ni chao chetu ni cha wote
Ajira hadi Uongozi wa juu ni za kwao ila Bara kila kitu tunagawana hili swala liangaliwe upya, ukija kwenye Taasisi zote bara wenzetu wapo hadi uongozi wa juu ila kwao nafasi ni zao