jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,103
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.