Kwanini Yanga imekubali kumuuza Best Player wake Aziz Ki kwa dola laki nane, ila inakataa kumuuza Mzize kwa dola milioni moja ? Akili gani hii?

Kwanini Yanga imekubali kumuuza Best Player wake Aziz Ki kwa dola laki nane, ila inakataa kumuuza Mzize kwa dola milioni moja ? Akili gani hii?

yanga kuwa na uhitaji na mzize ni sawa na mzazi asiyeweza kumtunza mwanae...

halafu anakataa mwanawe kuchukuliwa na kulelewa na mtu mwenye uwezo...

mzize hajaamua kubaki yanga, amelazimika abaki ndio maaana amewaambia muongeze mshahara...

angeamua kwaa maapenzi yake, asingetaka maboresho ya mkataba.

Mkuu unaelewa unachoongea kweli? Mtu asiyetaka kubakia huwa hana nia wala haja ya kuomba maboresho ya mshahara bali anashinikiza kuondoka ili akapate changamoto sehemu nyingine. Mtu anayeomba kuboreshewa mshahara maanake ameridhia kubakia kwa masharti na vigezo.

Hilo la mfano wako wa mzazi asiyeweza kumtunza mwanae sijui umewaza nini? Matunzo kwa mtoto ni malezi na kumfundisha yaliyo bora na mazuri. Thamani na ubora wa Mzize mnaouona sasa umepandishwa na nani kama sio walimu waliopo Yanga? Sasa unasemaje kuwa hakutunzwa wakati leo mchezaji anaonekana lulu kutokana na matunzo bora aliyoyapata.
 
Mbona aziz kii kauzwa bei chini ya dola milioni moja.. na ofa yake imekubaliwa . Je yeye hajapata matunzo,?
 
Mbona aziz kii kauzwa bei chini ya dola milioni moja.. na ofa yake imekubaliwa . Je yeye hajapata matunzo,?
Ishu ni mapenzi ya mchezaji mwenyewe, kuuzwa ni jambo la makubaliano ya pande mbili. Mchezaji akihitaji kuondoka hakuna jinsi lazima aondoke hata ubembeleze vipi hatokubali, ni sawa na ilivyokuwa kwa Mayele.

Maamuzi ya kubakia kaamua mwenyewe Mzize baada ya kuona amefikiana maslahi binafsi na timu. Kipi ambacho hapo hakieleweki?
 
Habari wadau

Naombeni majibu ya hili swali.

Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad.

Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa dola milioni moja kwenda esperence?

Kama swala la bei ni dogo, kwa nini yanga imemuuza aziz kii kwa bei chini ya hiyo dola milioni moja?

Gap la dola laki 2 ni kubwa sana. Why yanga imelikubali kwa aziz kii kuuzwa bei nafuu hivyo?
Kwani bidhaa huwa hazipandi bei?
 
Iwapo imekuja ofa ya dola laki nane, mchezaji ana mkataba wenye kipengele cha exit cha dola laki nane au pungufu ya hapo na kabakiza mwaka mmoja na anataka kuondoka unadhani Club itakataa kumuuza?

Ikikataa kumuuza mchezaji anaweza tumia kipengele cha exit kuvunja mkataba club ikampoteza, au akaamua hatosaini mkataba mpya akasubiri kuondoka bure.
 
yanga kuwa na uhitaji na mzize ni sawa na mzazi asiyeweza kumtunza mwanae...

halafu anakataa mwanawe kuchukuliwa na kulelewa na mtu mwenye uwezo...

mzize hajaamua kubaki yanga, amelazimika abaki ndio maaana amewaambia muongeze mshahara...

angeamua kwaa maapenzi yake, asingetaka maboresho ya mkataba..

mpira ni biashara, unaweza kunambia yanga itaafaidika nini na mzize ikibaki nae?

maana uwezo wa kuchukua club bingwa haupo...

mnaikataa 2.6 bilioni kwa ajili y milioni 600 ya ligi kuu?
Nadhani Yanga wamebet kuwa, msimu ujao Mzize atang'aa zaidi na watamuuza kwa fedha nyingi zaidi hata ulaya.
 
Nadhani Yanga wamebet kuwa, msimu ujao Mzize atang'aa zaidi na watamuuza kwa fedha nyingi zaidi hata ulaya.
hapana mkuu...

yanga wana tabia ya kubania wazawa, fuatilia...

hakuna mzawa aliondoka yanga kwa amani kwenda nje ya nchi...

yanga hua inawaogopa ma pro, maana huwa wana uongozi mzuri...

ndo maana Aziz aliyekua na impact zaidi ya mzize ameuzwa bei poa tu...
 
Nafasi ya Aziz Ki ilikuwa inaweza kuzibwa kwa wachezaji waliopo kikosini mwa Yanga na ndio maana kauzwa wakati Yanga ikiwa inaendelea na mashindano na pengo likazibika.
Mzize kwani kashikiwa bunduki kuwa lazima abakie? Si ni swala la maongezi ya pande mbili ( Mzize na uongozi wa Yanga) ni hiari yake kukubali kubakia au kuondoka. Sasa iweje mshupalie kuwa Yanga wanabania wazawa kama vile Yanga wao hawana shida na wachezaji wazuri, bora na muhimu? Mna mentality ya hovyo sana aisee.
 
Dogo kaambiwa ukiondoka tu tunakurushia majini kaona isiwe tabu
 
Back
Top Bottom