Kwanini Yanga imekubali kumuuza Best Player wake Aziz Ki kwa dola laki nane, ila inakataa kumuuza Mzize kwa dola milioni moja ? Akili gani hii?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
2,230
Reaction score
8,305
Habari wadau

Naombeni majibu ya hili swali.

Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad.

Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa dola milioni moja kwenda esperence?

Kama swala la bei ni dogo, kwa nini yanga imemuuza aziz kii kwa bei chini ya hiyo dola milioni moja?

Gap la dola laki 2 ni kubwa sana. Why yanga imelikubali kwa aziz kii kuuzwa bei nafuu hivyo?
 
Hivi Mzize ni must sell?
 
Fei pia anawajua vzuri
Huyo Fei ambaye unasema anawajua vizuri mbona hajauzwa huko alipo kwwnda Simba na Kaizer Chiefs ambao walikuwa wanamuhitaji? Mbona Kibu Denis tokea msimu uliopita anaangaika kuondoka kwenda kucheza nje ya nchi lakini Simba imemuwekea ngumu yupo yupo tu bongo ila hilo hamulioni bali mnajifanya mnauchungu na wachezaji waliopo Yanga. Acheni unafiki
 
Habari wadau

Naombeni majibu ya hili swali.

Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad.

Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa dola milioni moja kwenda esperence?
Huo msaada kuliko Aziz Ki umeupima kwa kipimo gani?
 
Wakati ameenda kufanya majaribio kuna matamko gani yaliyotolewa na viongozi wa Simba? Hawakuridhishwa na maamuzi ya Kibu Denis na wakamuhitaji arejee kambini mara moja.
mfano wako wa ajabu sana asee...

case ya kibu huwezi ifananisha na mzize...

kibu alitoroka kwenda kufanya majaribio, kwa mzize ni offa imekuja...

huoni tofauti mkuu?

bila shaka wewe sio kikwete au sunday manara...
 
1) Kwani mchezaji kuuzwa ni lazima ama ni maamuzi ya klabu?
2) Mzize si kaamua kubakia Yanga kwa kuomba kuongezewa maslahi je shida ipo wapi?
3) Je Yanga wao hawana uhitaji wa Mzize?
 
Habari wadau

Naombeni majibu ya hili swali.

Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad.

Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa dola milioni moja kwenda esperence?

Kama swala la bei ni dogo, kwa nini yanga imemuuza aziz kii kwa bei chini ya hiyo dola milioni moja?

Gap la dola laki 2 ni kubwa sana. Why yanga imelikubali kwa aziz kii kuuzwa bei nafuu hivyo?
Wachezaji huuzwa kwa malengo maalumu huwa hawauzwi just kuuzwa
 
Habari wadau

Naombeni majibu ya hili swali.

Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad.

Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa dola milioni moja kwenda esperence?

Kama swala la bei ni dogo, kwa nini yanga imemuuza aziz kii kwa bei chini ya hiyo dola milioni moja?

Gap la dola laki 2 ni kubwa sana. Why yanga imelikubali kwa aziz kii kuuzwa bei nafuu hivyo?
Hiyo aulizwe msemaji ndo atakuwa na majibu sahihi ila sisi hapa tutaishia kutoa hoja
 
1) Kwani mchezaji kuuzwa ni lazima ama ni maamuzi ya klabu?
2) Mzize si kaamua kubakia Yanga kwa kuomba kuongezewa maslahi je shida ipo wapi?
3) Je Yanga wao hawana uhitaji wa Mzize?
yanga kuwa na uhitaji na mzize ni sawa na mzazi asiyeweza kumtunza mwanae...

halafu anakataa mwanawe kuchukuliwa na kulelewa na mtu mwenye uwezo...

mzize hajaamua kubaki yanga, amelazimika abaki ndio maaana amewaambia muongeze mshahara...

angeamua kwaa maapenzi yake, asingetaka maboresho ya mkataba..

mpira ni biashara, unaweza kunambia yanga itaafaidika nini na mzize ikibaki nae?

maana uwezo wa kuchukua club bingwa haupo...

mnaikataa 2.6 bilioni kwa ajili y milioni 600 ya ligi kuu?
 
Back
Top Bottom