Kwanini X-wangu

wenyewe wanasema, the shilling of today is not the shilling of tommorrow...

achana na X, tafuta Y mwendeleze maisha...

no future for a girl today, no right to fall in love...
 
Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini
 
Pole sana......jaribu kumueleza how you feel about him, muombe msamaha kwa yale yaliotokea, naamini atakuelewa vizuri tu, ila ni vizuri uombe appointment nae ili uongee nae ana kwa ana, utajua kama amemove on or what, a tragedy of love is bad
 
Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini

It seems you are not strong, don't be selfish, try to wear her shoes Miss.
 
Itachukua muda lakini utazoea tu, pole sana
 
Acha kupenda husipopendwa......utaumizwa tena na tena.Huwezi kumuacha kwani ndo aliyekutoa bikra???na hata kama wanaume kibao labda kama hujiamini

Kumbe wakata utepe hamuwezi kuwaacha eeeh!!!
 
move on . Kamwe usirambe matapishi yako ataumiza hisia zako buree, unahitaji muda kumsahau and futa hayo mawazo kwamba mnaweza kurudiana baada ya yeye kuwa na mwingine....pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…